Kutokana na taratibu na sheria za Kifalme za nchi ya Belgium leo Mfalme mpya bwana Filip ameapishwa kwa taratibu zote za katiba za nchi hiyo.Akila kiapo hicho ndani ya bunge tukufu la nchi hiyo mbele ya wawakilishi wa bunge Zima bwana Filip ndiye Mfalme mpya wa Ubelgiji akishika nafasi ya aliyekuwa Mfalme kabla yake bwana Albert.