Leo ni siku ya kuzaliwa bidada Nasreen....Pichani akiwa ameshikilia keki yake tayari kwa kuiweka mezani
Mmmmmh lekker!!....Yam yam!!.....huu ndio mtazamo wa keki nzuri ya bidada Nasreen
Nasreen akiwa na dada zake wakipata picha ya pamoja ili kuweka kumbukumbu leo hii 
Nasreen akiwa na baba yake pamoja na dada zake wakipata kumbukumbu ya picha siku ya leo
Waaww...!!! Mooi meisje...Pichani bidada Nasreen akifurahia siku yake ya kuzaliwa...Maganga One team inampongeza baby Nasreen na kumuombea dua insh`Allah awe miongoni mwa watoto bora duniani na akhera.