Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya maelfu ya wakazi wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rachael kutoka THT, akionesha umahiri wake wa kutumbuiza jukwaani.
 Ni shangwe tu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
 Pichani ni msanii wa Bongofleva, Shilole Mohamed na madansa wake wakiwachengua vilivyo wakazi wa Kigoma, waliojitokeza kwa wingiusiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
 Wadau nao walitokelezea.
Peter Msechu na madansa wake wakikamua vilivyo katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013.