Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitia saini Kitabu cha Maombolezo cha waliopoteza maisha katika  tukio baya la kigaidi lililotokea nchini Kenya. Balozi Kamala ametia saini katika Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Ubelgiji.