Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika Picha ya pamoja na Madaktari wa Jamuhuri ya Uturuki mara baada ya kuwashukuru kufuatia kukamilisha mpango wao wa kutoa huduma mbali mbali za afya ukiwemo upasuaji hapa Zanzibar.

Mdhamini wa Madaktari wa Uturuk waliokuwa wakitoa huduma za Afya hapa Zanzibar Profesa MuratTuncer wa Chuo Kikuu cha Hacettepe Nchini Uturuki akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mara baada kukutano na madaktari hao katika ukumbi mdogo wa Jumba la Wananchi Forodhani Mjini Zanzibar.

Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.