Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa UBO, Dar es  Salaam utakaofanyika Oktoba 27 mwaka huu.
Promota wa mpambano wa ubingwa wa UBO, Kaike Siraju (katikati) akiwanyoosha mikono juu mabondia Ramadhani Shauri (kushoto) na Cosmas Cheka watakaopigana Oktoba 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
(Picha na Super D)