Juu na chini ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilboard Slaa pamoja na mchumba wake Josephine Mshumbuzi wakipokelewa na Makamanda wa CHADEMA DMV wakiongozwa na Mwenyekiti Kalley Pandukizi na Katibu wake Liberatus Mwang'ombe mara walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia. Dr. Slaa kesho Jumapili Sept 22, 2013 atafanya mkutano na wanaDMV kwenye ukumbi wa Marage  uliopo 1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783 kuanzia saa 7 mchana (1pm)





Kutoka kushoto ni Mweka Hazina wa CHADEMA DMV Ludigo Muhagama, Mwenyekiti wa CHADEMA DMV, Bwn. Kalley Pandukizi, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilboard Slaa, Bi. Josephine Mshumbuzi (mchumba wa Dkt Slaa), Katibu Mkuu baraza la wanawake CHADEMA DMV, Bi. Baybe Mgaza, Katibu Mkuu na afisa habari wa CHADEMA DMV, Bwn. Liberatus Mwang'ombe, Katibu Mkuu baraza la wazee CHADEMA DMV Elius Mshana, Julia Nyerere na Helena Nyerere katika picha ya pamoja na wageni wao.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA DMV, Bwn. Kalley Pandukizi.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu na Afisa Habari wa CHADEMA DMV Bwn. Liberatus Mwang'ombe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la kina mama CHADEMA DMV Bi Baybe Mgaza.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu wa wazee CHADEMA DMV, Bwn. Elius Mshana.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na mweka hazina wa CHADEMA DMV, Ludigo Muhagama.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Julia Nyerere (kushoto) na Helena Nyerere.
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti CHDEMA DMV, Bwn. Kalley Pandukizi, Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa, Bi. Josephine Mshumbuzi na Katibu Mkuu na Afisa habari wa CHADEMA DMV, Bwn. Liberatus Mwang'ombe katika picha ya pamoja.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa wananwake CHADEMA DMV, Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt. Wilboard Slaa na Bi. Josephine Mshumbuzi.
Makamanda wakisubiri kumpokea Katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa alipokua akiwasili leo Jumamosi Sept 21, 2013 kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
Picha zote kwa hisani ya Vijimambo Blog