Moja wao ni mwanasiasa marehem Professor Abdulrahaman Mohemmed Babu(RIP),mpiganaji,mwanaharakati,mwanasiasa,msomi,mwanaharakati
ujamaa kwake ulikuwa ndio mfumo wa maisha.
Marehem Abdulrahman Mohammed Babu alizaliwa siku kama ya leo
22 September 1924 huko visiwani Zanzibar,
0 Comments