Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC
Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake
huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC
Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake
huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 Comments