Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiokoa moja ya hatari
zilizoelekezwa langoni mwake.

 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Ruvu
Shooting, Stephano Mwasika, ikiwa ni mechi yake ya kwanza msimu huu baada ya timu yake hiyo ya Jangwani kumlipia faini ya shilingi milioni 45 alizokuwa anatakiwa kulipa kwani alisaini Simba SC pia hivyo kumfungia mechi sita na kumtaka arejeshe Sh. Milioni 30 alizopewa na Simba pamoja na  na fidia ya Sh. Milioni 15.
Furaha ya ushindi......Wachezaji wa Yanga, wakishangilia balo lililofungwa na Mrisho Ngasa.