Wapenzi na wasomaji wangu wa Maganga One Blog,napenda kuwaomba radhi kwa kutokuwepo hewani kwa kipindi  kifupi na hii inatokana na kuwa na majukumu mengi zaidi ya kikazi.Nitarudi hewani hivi karibuni,nawashukuru wale wote walionitumia sms na walionipigia simu kutaka kujua nini kinaendelea.
                     Magang One.