Mkono wa Eid Mubaraka kutoka FFU Ughaibuni
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya
Ngoma Africa Band  aka FFU Ughaibuni ya kule
Ujerumani inawatakia wadau wote kila la heri
katika siku kuu ya Eid El Hajj.Baraka za mwenyezi mungu
na amani kwa wadau wote,  Eid Mubaraka.
msikose kupata burudani na zawadi ya Eid at www.ngoma-africa.com
 
The Ngoma Africa Band