Mhe.Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania
nchini Mozambique akitoa wasifu wakati wa misa ya kumuenzi Marehemu Baba wa
Taifa Mwalimu J.K.Nyerere iliyofanyika jijini Maputo Jumapili tarehe 13.10.2013 katika kanisa la Mtakatifu Antonio
Mhe.Joaquim Chissano, Rais mstaafu wa
Mozambique akimzungumzia  Baba wa Taifa
wakati wa misa hiyo.

Mhe.
Gabriel Mutisse, Waziri wa  Usafirishaji
na Mawasiliano , ambae aliwakilisha Serikali ya Mozambique kwenye misa hiyo.

 
Mhe. Phillipe Paunde, Katibu Mkuu wa chama
cha FRELIMO na Jen. Pachinuapa , mjumbe wa Kamati Kuu ya FRELIMO wakihudhuria
misa ya kumuenzi Baba wa Taifa . Nyuma yao kushoto anaonekana  Mhe. Balozi Zacarias Kupela

Mabalozi wa DRC, Brazil, Nigeria
na Sweden walihudhuria misa hiyo.