Waungwana baada ya weekend ya mapumziko narejea kijijini..... Weekend ilikuwa nzuri sana narejea kijijini ili kesho ujenzi wa Taifa uendelee kama kawaida.