Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Njopeka Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani jana.Mradi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Japan.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo. (Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu).