Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimsikiliza mwakilishi wa wa kampuni ya Nilo Vital ya Ubelgiji Bwana Denis Mbonimpa aliekuwa akimweleza mipango ya kampuni yake kununua pareto ya Tanzania na kuwekeza Tanzania ili kuongeza kiwango cha uzalishaji na usindikaji wa pareto Tanzania.