Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Azam imeshinda 2-1. 
 Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.