Waungwana na wapenzi wa Blog yenu ya Maganga One napenda kuwataarifu kwamba nipo njiani na kila nikipata cha kuwapa nawapa kiduchu..naelekea kuleee baada ya huo Mlima ndio kuna mji ninaokwenda.Baadae waungwana.