Ubora wa picha inategemea jinsi ya picha unavyoipiga,angalia jamaa huyu jinsi alivyopiga goti ili kupata ubora wa picha kwa jinsi anavyotaka.Picha hii imenaswa Brussel Airport.