Seif Akida's Interview from Luke Joe on Vimeo.
Aelezea maisha yake na kuilezea kazi ya kuendesha magari makubwa Marekani ni kazi isiyokuwa na kipato kikubwa kama watu wengine wanavyofikiria pia wenzetu walichukuliaje swala la usalama wa magari hayo makubwa yenye matairi 18, ni nini kinachosababisha ajali nyingi zinazotokea nyumbani Tanzania. MSIKILIZE