Wanakijiji wa Mol wakijumuika katika kisomo cha marehemu Abbas Ahmad kilichotokea siku chache nyumbani Africa.
 Ndugu wa marehemu Abbas ambaye ni mdogo wake bwana Ally akiwa na kitabu tukufu cha quran mchana wa leo katika kisomo kilichofanyika Mol nchini Ubelgiji
 Dua ikiendelea
 Katika kisomo hata watoto walikuwepo mash'Allah
Ameen ,Ameen Ameen....Allah amfanyie wepesi marehemu Abbas hukoo mbele ya haki insh'Allah