Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar esa Salaam jana Alhamisi Januari 2, 2014. Anayeshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini wakati wa mkutano baina yake ya Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam jana Alhamisi Januari 2. 2014. Wengine Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga, Katibu wa Tume, Assaa Rashid na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augstino Ramadhani.
(PICHA NA TUME YA KATIBA).