Rais Jakaya Kikwete, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Miono, Wilaya ya Bagamoyo.
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na kiuongozi wa kambi ya upinzani bungeni na Mwenyekiti wa Chadema, Mhe Freeman Mbowe (kushoto)