Mmiliki wa Maganga One Blog kulia akisalimiana na CEO wa Africa Television{AFT} Pastor Larry nchini Ubelgiji jana kwenye mazungumzo ya kuendesha vipindi vya maisha na taratibu za waafrica balani ulaya.mazungumzo yaliyochukua takribani masaa 3 yalizungumzia juu ya maendeleo ya waafrika balani ulaya na jinsi ya kuwekeza kwa wageni kwenye bara letu la Afrika.Hivi karibuni mtaanza kuona mengi ya mazuri wafanyayo waafrika kwenye Afrika Television.