Katika ulimwengu wa sanaa duniani ukitaja jina la Hija Salehe ni moja kati ya majina mapya yanayokuja juu kwa kasi ya ajabu.Hija ni kijana mwenye ndoto za kuwa mmoja wa wasanii wakubwa duniani hasa katika nyanja za kimataifa.

Kipaji cha Hija ni kikubwa na kajaaliwa zaidi ya kipaji kimoja...Hija ukiachilia mbali uchezaji wa filamu za kiswahili,Hija anaweza kuandika script,Hija anaweza kuongoza Movie as a Director...

Hija ni mzaliwa wa miaka ya sabini mwenye mke na watoto mchanganyiko{watoto wa kike na watoto wa kiume} Hija anaishi bara la Ulaya na masikani yake ni jijini Den Haag nchini Uholanzi.

Unaweza kuangalia kipande kidogo cha Trailer la moja kati ya movie anazoziandaa hapa chini.