Mr |& Mrs Twalib wakiwa makini kabisa kupata picha ya kumbukumbu ya sherehe ya ndoa yao hapo jana
 Mama mzazi wa Bi harusi akiwa amepata fursa ya kuongea mawili matatu kuwapa hosia wa maisha kwa  binti yake na mkwewe Twalib.
 Maharusi wakipata picha ya pamoja na wana ndugu,jamaa na marafiki waliofika kwenye sherehe hizo za harusi yao hapo jana
 Bwana na Bibi harusi wakinywa juisi kwa staili yao ....imetuliaa hiyoo
 Kula mpenzi...hii ni keki ya upendo na ni kwa ajili yako tu......wawwwwoohhh......!!!!!!!Nice smile from Sakina
Mmmmmwaaaaaahhh...!!Busu halali kwa wana ndoa tu,Aisee mmependeza sana Mungu awalinde nyote ili mdumu kwenye ndoa yenu
Mmiliki wa Bondeni Hotel Tanzania ambaye ndiye baba wa bi harusi Alhaj Hasheem akiwa na mkewe  mama Sakina,wakitoa nasaha zao kwenye sherehe za harusi ya binti yao hapo jana nchini Uholanzi...