Msanii toka Burundi Mr Kidumu akilimudu vyema jukwaa kwa nyimbo na sauti yake ya madaha 
Washabiki waliofurahia kazi nzuri ya mwanamuziki Kidumu wakirusha mikono hewani kushangilia maneno matamu toka kwa Kidumu.. 
 Kidumu ni mwanamuzi nguli katika sanaa ya muziki,ukiachilia mbali ya kuimba Kidumu anapiga drums,Gitaa na kuimbaa..
Mambo yamenoga kila mmoja anacheka tu 
 Mama Tommy kulia akiwa na rafiki yake kumshuhudia Kidumu akifanya mambo
 Peace and Love kwa msanii Kidmu
 Umati wa watu waliokuja kumshuhudia Kidumu
Mama Sara akiwa jukwaani kumsaidia Kidumu nyimbo walioimba na Lady Jay Dee  
 Mwanadada aliyepandwa na mizuka akaamua kupanda kwenye stage na aanze kucheza na Kidumu
 Mwanamuzi Kidumu akipata picha na watu wanaopenda muziki wake
 Uwimana Family pia walikuwepo ndani ya ukumbini
Maganga One pia alikuwepo ndani ya mjengo 
 Aisee Kidumu alijua kuwafurahisha mashabiki wake
Bwana mdogo Yusuf akiwa na fiance wake ndani ya mjengo

 Mwanamuziki Kidumu akiendeleza kuwakonga nyoyo mashabiki wkae waliofika ukumbuni hapo
Watu weweeeeeeeeeeeee
Kidumu akipata picha na mwandada Sarah,pembeni mwa Sarah ndiye mama Sara mwenyewe