Kijana mdogo mwenye jezi nambari 9 mgongoni anakwenda kwa jina la Nusayr yupo timu ya taifa ya watoto wenye umri chini ya miaka 5...Taifa la kesho ambalo tunategemea,Nusayr anatuma salamu zake za sikukuu ya  Muungano kwa taifa zima kule nyumbani Africa ya kwetu.