Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu
Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta
Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
hapa Washington DC.Mke
wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa
Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU
FASHION".

Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya Muungano hapa Ubalozini Washington.Mh:Mwigulu
Nchemba akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Vitu Mbalimbali vya asili ya
Tanzania nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania hapa Wahsington DC.

Mh:Mwigulu
Nchemba akipata maelezo kuhusu Vitenge na Khanga zinazouzwa Nje ya
Jengo la Ubalozi wa Tanzania zenye Kutengenezwa Tanzania.
Maonesho yanaendelea hapa Washington DC,Ubalozi wa Tanzania.Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yamefana sana Washington DC.
 Mh:Mwigulu
Nchemba akikata Utepe Kuashiria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya
Muungano hapa Washington Dc Zimefunguliwa rasmi,Kulia Kwake ni Balozi
Libereta Mulamula na Kulia Kwake ni Waziri anayeshughulikia
Muungano-Zanzibar Mh:Mwinyihaji Makame.

Ubunifu:Miaka 50 Ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Viongozi
wakionja Chakula cha Asili cha


Tanzania kilichopikwa hapa Washington
DC,Ugali wa Mihogo,Makande,Ndizi,Kisamvu n.k Vilikuwepo.Katikati
ni Bwana Okoka Sanga akiwa na Viongozi wa Kitaifa waliofika Kuadhimisha
Miaka 50 ya Muungano hapa Washington,Okoka Sanga ni Mtengenezaji
Maarufu wa Kadi na Mifuko ya Zawadi hapa Washington DCMaadhimisho yanaendelea huku Kuta za Jengo la Ubalozi zikiwa Zimepambwa Picha za Viongozi wetu wa Kitaifa.


Bidhaa za Bakharesa pia Zilikuwepo kwenye Sherehe hizi za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano,Hakika Zimefana sana.

Tanzania Nchi inayopendwa na Mataifa Yote Duniani,Kisiwa cha Amani na Upendo.



I
love Tanzania,Bibi huyu wa Kizungu alipata Kuishi Tanzania na
Kufanikiwa Kupandisha Sehemu ya Mlima Kilimanjaro,Hapa anahamasisha Watu
Kupanda Mlima Kilimanjar.


Viongozi
wa Chama Cha Mapinduzi Kutoka Huston-Texas Waliofika hapa Washington DC
Wakiwa katika Picha ya pamoja na Mh:Mwigulu Nchemba mara baada ya
Kuzungumza Machache kuhusu Kuimarisha Chama hapa Marekani,
Mh:Mwigulu
Nchemba akimvisha Skafu ya Tanzania huyu Mtoto wa Kizulu-South Africa
aliyepiga Ngoma na kufanya Umati Kushangilia kwa Shangwe,Baba yake wa
huyu Mtoto aliwahi Kuishi Tanzania Mwaka 1982.
 Kikundi cha Wacheza Ngoma ya Asili cha Watanzani waishio hapa Marekani Wakitumbuiza Kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.
Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Watanzania nje ya Jengo la Ubalozi hapa Washington DC.Kwetu FashionNje ya Jengo la Ubalozi Watanzania wanabadilishana Mawazo,Wamepata Fursa yakuwa pamoja kwa sababu ya Muungano Wetu uliofikisha Miaka 50 hii leo.Mtanzania akiwaongoza wazungu hawa Kula chakula cha Asili cha Tanzania. Miss
Tanzania wa hapa Marekani aliyeshinda Mwaka Jana 2013/2014 akiwasili
Ubalozini tayari kwa Kuungana na Watanzania Kusherekea Miaka 50 ya
Muungano.Tanzani Is All AaboutUkodak Unahusika.


 Watanzania Wamefurahi sana Hapa Washington DC kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano,Wamejitokeza Kwa Wingi sana,Hivi
ndivyo Muungano Ulivyofana Miaka 50,Nyama Choma na Vyakula vya asili
vimepatikana Kwa Wingi hapa TANZANIA HOUS Washington DC.Tanzania Culture is All about.


Maadhimisho yamefana sana,Mtoto akionesha Uwezo wa Kucheza Ngoma ya Asili.Chombo
cha Habari "SAUTI YA AMERIKA'VOA nao Walijumuika na Watanzania hapa
Marekani,.Mtangazaji Hamza Mwamoyo akiwana Viongozi wa Serikali ya
Tanzania Mh:Mwigulu NChemba (Kulia) na Mh:Mwinyihaji(Kushoto) baada ya Kufanya Kipindi kitakacho rushwa Voice Of America.


Balozi Mulamula akimkaribisha Askari wa Jeshi Kutoka Ubalozi wa Nigeria hapa Washington DC.Col.Mutta Kulia wa Ubaliozi wa Tanzania akimkaribisha Kiongozi Kutoka Ubalozi wa Camerron hapa Washington DC.Mapokezi
yanaendelea kwa Wageni Kutoka Mataifa Mbalimbali waliofika Kuhudhuria
Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.
 Askari
wa Mataifa Mbalimbali waliojumuika na Watanzania Kusherekea Miaka 50 ya
Muungano Kutoka Kushoto ni Nigeria,Poland,Zimbabwe na Zambia waki
kwenye Picha ya pamoja na Mh:Mwigulu NchembaKushoto ni Ndugu Mrisho Mzese Kutoka Maryland na Ndiye Mwenyekiti wa Shina la CCM  Maryland.Mh:Mwigulu
Nchemba akiendelea Kusalimiana na Watanzania Mbalimbali walofika kwenye
Ukumbio wa Marriott Hotel hapa Washington DC kusherekea Miaka 50 ya
Muungano wa Tanzania.



Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Askari wa Jeshi kutoka Ubalozi wa
Nigeria aliyefika Kujumuika na Watanzania kwenye Sherehe za Muungano wa
Miaka 50 wa Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania.Watanzania wakiwa Kwnye Mavazi ya Kiafrica zaidi


Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 zimefana sana hapa Washington DC.Tanzania
ianapendwa sana na Mataifa Mengine ya Africa,Kushoto ni Raia wa Nigeria
na Kulia ni Raia wa Cameroon wamefika Kuungana na Watanzania hapa
Washington DC kusherekea Miaka 50 ya Muungano.


 Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na hawa Wazungu waliopata Kuishi Nchini Tanzania miaka ya 1990's.

Tanzania Is All about kwa hapa Washington DC,Tuudumishe Muungano Wetu.Huyu
Dada wa Kitanzania amesafiri Kutoka Calfoni hadi Washington Kwaajili ya
Kuuongoza Watanzania kuimba Wimbo wa Taifa wa Tanzania na
Marekani,Ameonesha Kipaji chake cha ajabu cha Kuimba Nyimbo zote mbili
kwa Ustadi Mkubwa sana.




Balozi
Libereta Mulamula akiwa na Mme wake alipomuita Kwaajili ya
Kumtambulisha kwa Watanzania waliofika kusherekea Miaka 50 ya Muungano.


Viongozi wakisikiliza Kwa Makini maneno ya Balozi Mulamula(hayupo Pichani).

 Mmoja
ya Viongozi wa Serikali ya Marekani akifurahia Umoja na Urafiki wa
Tanzania na Marekani kidiplomasia,Na ameomba uendelee Kudumishwa.


Hapa akitosi Glasi na Balozi Mulamula Kuonesha Upendo na Mshikamano Miongoni Mwa Watanzania na Serikali ya Marekani.

Mh:Mwinyohaji
Makame akizungumza n Watanzia hapa Washington DC kuhusu Umuhimu wa
Muungano Kwa Wananchi wa Zanzibar,Amesisitiza Watanzania Wajikite
kujadili maswala ya Maendeleo na sio Kuongeza Idadi ya Serikali kitu
ambacho kinapoteza Muda na hakina Manufaa kwa Wananchi wa Zanzibar na
Tanzania kwa Ujumla.Mh:Mwigulu
Nchemba akizungumza n Watanzania na Wananchi wa Mataifa Mbalimbali
waliofika Kusherekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,Mh:Mwigulu amesema
ni Wajibu kwa Kila Mmoja wetu katika Kizazi hiki kuandika historia ya
kipekee kwa Kuulinda na Kuudumisha Muungano wetu kwa Miaka 50
zaidi,Kizazi kijacho kitawahukumu Watanzania endapo Muungano Utavunjika
kwa Sababu tu ya Kupenda Vyeo na Ukosefu wa Utashi wa Kisiasa.


 Watanzania hawa Wakipata UKODAK kwenye sherehe za Muungano hapa Washington DC.



Nafasi ya Kupata Ukodak na Mh:Mwigulu na Mke wake(Kushoto).Viongozi wa Chama Cha mapinduzi Kutokea TEXAS.

Mh:Mwigulu Nchemba akiingia na Mh:Balozi Libereta Mulamula kwenye Usiku wa Muungano hapa Washington DC.

 Mc akiendesha Shughuli kwenye USiku wa Miaka 50 ya Muungano.

Usiku wa Muungano Umefana sana,Watanzania wapo Wamoja.Tutaulinda Muungano Wetu.

 Watanzania Wanaipenda Tanzania yao.

Viongozi
wa Mataifa Mbalimbali katika Picha ya Pamoja na Balozi Libereta
Mulamula,Mh:Mwigulu Nchemba na Mh:Mwinyihaji Mara baada ya Mh:Mwigulu
NChemba kumaliza Kuzungumza na Watananzania.
Safu
ya Viongozi wa Jumuia za Watanzania kwenye Majimbo mbalimbali hapa
Marekani wakiwa katika Meza ya pamoja na Mh:Balozi Mulamula na
Mh:Mwigulu Nchemwa wakati wa Usiku wa Muungano hapa Washington DC.Sehemu ya Umati wa Watanzania waliofika Kwenye Usiku wa Muungano hapa Washington DC.

Usiku wa Muungano Ulipambwa na Nyimbo za Kitanzania tu,Hapa Mziki unaendelea Kusherekea Miaka 50 ya Muungano Wa Tanzania.

Mh:Mwigulu
Nchemba akizunguma na Watanzania Kwenye Usiku wa Miaka 50 ya Muungano
hapa Washington DC.Mwigulu amezungumzia Kuhusu Uraia Pacha na Kuwaahidi
Watanzania Kuungana nao Kuipata haki hiyo Kikatiba na Chama cha
Mapinduzi kimependekeza hilo kwenye Rasimu ya Katiba Mpya,Pia
amezungumzia Sababu za Kiuchumi kuhusu Mzigo wa Serikali ya tatu
inayopendekezwa na Rasimu huku akiwapa Uhuru Wataanzania Kutafakari kwa
Kina kuhusu Jambo hilo,na Mwisho amezungumzia kuhudu dhamira ya Wazi ya
UKAWA kuvuruga Mchakato wa Katiba,na dhamira hiyo imepangwa kutoa awali
wakati wa Ukusanyaji wa Maoni na hata Kwenye Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge
la katiba.Hivyo Kususia kwao Bunge ni jambo walilopanga na
Wamelitekeleza.Mh:Mwigulu amepeleka pongezi kwa Watanzania Wote kwa
Kupuuzia Kitendo hicho walichokifanya UKAWA kwsababu hakikuwa cha
Kizalendo na Kimelenda Kuligawa Taifa.


 Picha/Maelezo na Sanga Festo-Washington DC

26/04/2014