Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Apr 30, 2014

STAILI MPYA YA UFUNGAJI WA VILEMBA/HIJABU KWA MAHARUSI

 Unaweza kuona kwa upande wa kulia na kushoto jinsi ufungaji wa Vilemba unavyovutia

 Staili tofauti kwa mbele..


Kwa nyuma muonekano wenye mvuto...
Mchanganyiko wa rangi jinsi unavyochanganywa kitaalamu zaidi,angalia kwa upande wa mbele na upande wa pembeni 

Habari njema kwa kina mama na kina dada nchini Uholanzi,Belgium,Ufaransa,Ungereza na kwengineko ndani ya bara la ulaya.Kwa wale wote wenye nia njema katika muonekano wa kiheshima zaidi iwe siku yako ya harusi au mtoko wa maana na unahitaji kuhifadhi nywele zako kwa kilemba.Wengi wanapenda kufunga vilemba na kuonekana vizuri ila hawajui jinsi ya kuvifunga vile inavyotakiwa,Huna haja ya kusononeka tena..Mtaalamu aliyebobea katika fani hii sasa yupo karibu yako.

Wasiliana Mtaalam Halima{Mama Leyla} kwa namba  +31 681796989

Share this article :

2 Maoni:

Anonymous said...

Very nice, I like it

Anonymous said...

Very nice l like it

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP