Msanii Diamond Platnumz akiwa na mrembo ambaye ni mpenzi wake Wema Sepetu,Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu na rafiki wa karibu wa Diamond mwenye kanzu ya Bluu,wakipata picha mara tu walipofika kiwanja cha ndege cha Mtwara
Diamond Platnumz kushoto,Wema Sepetu na Martin Kadinda