Bidhaa mbalimbali kutoka Uturuki zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.
 Bidhaa ya wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.