Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughuikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme,pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo. 
Mh:Balozi Dr Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika kiwanda cha utengenezaji wa mitambo ya umeme kinachojulikana kama Anglo Belgian Corporation kilichopo Gand nje kidogo ya jijini.Mitambo mbalimbali ambayo inatengenezwa hapo kwenda Mpanda na kwenginepo Tanzania ipo mbioni kumalizika 
 Baloziwa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Ulaya Dr. Kamala akiwa na Dr JudithMhina Irungi CEO wa PMM inland Container na kulia ni Mh:Nizar Karamagi mkurugenzi wa Tanzania International Container Terminal Service Limited walipotembelea kiwanda cha Anglo Belgian Corporation hivi karibuni
Wadau wa reli na bandari kutoka Tanzania wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Uaya Dr Kamala pamoja na uongozi wa kampuni ya Anglo Belgian Corporation hvi karibuni walipotembelea kiwanda cha utengenezaji wa miatmbo ya umeme. {picha na maelezo kutoka Maganga One}