Goli la kwanza kwa upande wa timu ya Brazil likifungwa na David Luiz  na kuandika bao la kwanza kwa timu yake.

Mchezaji wa Chile Alexis Sanchez akisawazisha goli kwa timu yake ya Chile dhidi ya Brazil na kufanya mambo yawe 1-1.mchezo uliishia kwa goli 1-1 wakaongezewa muda wa nyongeza mpaka penati...Brazil ilifanikiwa kushinda kwa 3-2.