Wachezaji wa Mechelen wakishangilia ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Antwerpen hapo jana...

Kikosi cha  Mechelen ambacho jana kilitoa fundisho kwa vijana wa Antwerpen kwa kuwapa zawadi ya ramadhan baada ya kuwafundisha adabu kwa goli 5-2 katika uwanja wa nyumbani.

Kikosi cha vijana wa  Antwerpen ambacho jana kilikubali kirahisi goli 5-2 dhidi ya  vijana wa Mechelen.