Kikosi cha timu ya taifa cha Ubelgiji kikishangilia ushindi wa bao la kusawazisha baada ya mshambuliaji namba 8 wa Ubelgiji Marouane Fellaini kupachika bao kwa njia ya kichwa.
Mkwaju mkali toka kwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Dries Mertens ndio uliwaliza wachezaji wa taifa ya Algeria kwa kulala 2-1
Raha ya ushindi ni kushangilia,pichani wachezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji wakishangilia ushindi wao dhidi ya timu ya taifa ya Algeria...mpaka mwisho wa mchezo Ubelgiji 2-1 Algeria
0 Comments