Mfungaji wa bao la pekee kwa timu ya taifa ya Ubelgiji Divock Origi mwenye jezi nyekundu akiachia shuti kali lililomshinda golikipa wa urusi.
Wachezaji wa timu ya taifa ya ubelgiji Kevin Millas kushoto na Divock Origi kulia wakishangilia ushindi wa bao lao.