Diamond Platnumz akifanya mavituzz ukumbini na wacheza show wake wakiwa wanaendeleza manjonjo
 Waaaawwwoohh..ni umati haswaaa..kweli Diamond anapedwa
 Diamond Platnumz kijana mdogo mwenye mafanikio katika mziki na kimaisha akiimba wimbo wa nimpende nani
 V.I.P. table ilijumuishwa na viongozi mbalimbali,pichani ni mke wa Mh: Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Ulaya Mh: Kamala aliyevalia nguo yenye maduara yenye rangi nyeusi na nyeupe
 Hapo sasa..Diamond Plutnumz akiendelea kukonga nyoyo za waliofika kumshughudia show yake
  Warembo toka Tz wakishangilia show ya Diamond wakati  ikiendelea.
                                                              OOOooyoooooooooooh
        Ni peace n' Love toka kwa watoto wa nyumbani
 Umati wa watu wakiendelea kupata burudani ya muziki toka kwa msanii Diamond Platnumz
Ngololo aai ngololo mama  ngololo...... and show me how they do ngololo ngololo ni Saidi Biboze na dada yake Zuhra Biboze wakijiachia kwa raha zao.
 (Picha zote na Maganga One Blogger)
kwa picha zaidi bonyeza maandishi hayo chini


 (Picha zote na Maganga One Blogger)