Mfungaji wa bao pekee la ushindi kwa timu yake ya Argentina dhidi ya Ubelgiji Gonzalo Higuain akiachia mkwaju mkali katikati ya mabeki wa timu ya Ubelgiji.Argentina imefaulu kuingia nusu fainali za kombe la dunia. 
Wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina wakishangilia ushindi wao kwa pamoja baada ya kuwafunga Ubelgiji kwa bao 1-0.