Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakishangilia ushindi wao dhidi ya Brazil baada ya kuichapa jumla ya goli 7-1

Aibu ya mwaka dakika ya 26 goli 4 tayari ndani ya nyavu....mpira siku zote unadunda sasa ole wako udundie kwako..hayo ndiyo yaliyomkuta Brazil leo.