Hiki ndicho kiwanja ambacho kinachezewa leo  nusu fainali za kombe la dunia kati ya timu kubwa mbili duniani Brazil na Ujerumani..jina la kiwanja ni Mineiraio Stadium
 Madada wa kibrazil wakiwa na mapambo ya rangi za bendera ya taifa lao,leo wameahidi kuwepo kwa ushindi dhidi ya Ujerumani
Wakibashiria ishara ya ushindi wa kombe la dunia madada wa kibrazil wakilibusu kombe la bandia...