Jiji la Brussel liokanavyo mchana huu,mvua za hapa na pale zinaendelea kuweka mji katika mazingira mazuri zaidi.
Uzuri wa jiji la Brussel ni moja ya kivutio kwa watalii kuja kujionea uzuri wa Ubelgiji