Mchezaji wa timu ya taifa ya Italia Giorgio Chiellini kushoto mwenye jezi ya bluu akilalamika kwa refa kutokana na maumivu ya kung'atwa na mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez ambaye anazuga kama kaumia meno yake.Suarez amefungiwa kucheza baadhi ya mechi za kitaifa na kimataifa kwa muda kutokana na kitendo chake cha ajabu uwanjani.