Kikosi cha Mol All Stars ambacho kimeilaza timu ya Antwerpen Fc kwa goli 6 hapo jana

 Kikosi cha Antwerpen Fc kilichokubali kipigo cha goli 6-5 toka kwa Mol All Stars
 Hekaheka  katika lango la Mol all Stars,huku wachezaji wa Antwerpen Fc wakijaribu bahati yao bila mafanikio katika mchezo wa kirafiki hapo jana,Mol iliichapa Antwerpen goli 6
 Mlinzi wa Mol All Stars Abdul Tall akijaribu kufunga goli  huku wachezaji wa Antwerpen wakijaribu kuokoa hatari langoni mwao
 Mchezaji wa Mol All Stars akimtoka mlinzi wa Antwerpen Fc katika mchezo wa Marudiano hapo jana,Mol ilifunga Antwerpen goli 6-5
 Mlinda mlango namba moja wa Mol All Stars Maganga One akiwa makini na walinzi wake Ally Q na Mohammed katika mchezo wa marudiano hapo jana katika uwanja wa De Uyt.
 Mshambuliaji wa Mol All Stars Fahad akijapiga shuti kuelekea katika lango la Antwerpen
Golikipa namba moja wa timu ya Mol All Stars Maganga One akiokoa moja ya mkwaju uliopigwa na mshambuliaji wa Antwerpen Fc hapo jana...Mol ilishinda ushindi mnono wa goli 6-5