| Waumini wakiendelea na kisomo cha dada yetu hapo jana |
Watu walioshiriki kisomo cha dua ya dada yetu wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Shekh Hassan
Kila mmoja alikuwa na huzuni na wengine mawaidha yalikuwa yakiwaingia nyoyoni| Watu wengi walifika katika kisomo hicho kutoka sehemu mbalimbali |
| Kwa upande wa kina mama hawa ni baadhi tu ya sehemu ya waliohudhiria kisomo hicho hapo jana... |
1 Comments