Mshambuliaji wa timu ya Manchester City Agueros akiiandikia timu yake bao la kuongoza na la ushindi dhidi ya Manchester United
Golikipa wa Manchester United akilalamika kwa uchungu baada ya kushindwa kuzuia mpira uliopigwa na mchezaji wa Manchester City Agueros na kuandika bao la ushindi.