Ali Choki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wakitambulishwa rasmi leo. Kulia ni Super Nyamwela na Luiza Mbutu.
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki na dansa wake Super Nyamwela wamejiunga rasmi na Bendi ya Twanga Pepeta leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika Nemax Hotel, Kinondoni jijini Dar.