Mdau mkubwa wa Maganga One Blog Mzee Said Sleyyum,mapema leo hii akiwa njiani kwenda Oman katika shughili zake binafsi.Uongozi na team nzima ya Maganga One inamtakia heri katika safari yake mzee wetu.