Bondia bingwa ambaye hajawahi kupigwa na bondia yoyote duniani Floyd Mayweather kushoto akirusha konde kali kumsukumia mpinzani wake Manny Pacquiao usiku wa jana jijini Lav Vegas nchini Marekani.kwa ushindi huo Mayweather amedhihirishia ulimwengu kwamba hakuna bondia bora kama yeye duniani.
Ulikuwa wakti mmgumu kwa Manny Pacquiao kupoke makonde mfululizo kila wakati 

Floyd Mayweather akiwa amepozi na mikanda yake ya ubingwa mbalimbali duniani

Shangwe,nderemo na vifijo vikilindima Las Vegas  Nevada Mgm baada ya mabondia kupanda ulingoni.

Umejitahidi,usikate tamaa ila mimi bingwa bwanaaa....Pichani Floyd Mayweather akiteta jambo na aliyekuwa mpinzani wake kwa miaka mingi Manny Pacquiao usiku wa kuamke leo ambapo Floyd Mayweather alishinda pambano ilo kwa pointi

Paaaa ya usooo hiyooo

Hata ukizuia mimi nakuja hiviii