Shekh wa Mol ustadh Yusuf akitia ubani kuanza rasmi kwa kisomo cha marehemu Khatib Juma Khatib aliyefariki miezi michache iliyopita nyumbani Afrika.
Boga Omary ambaye ni mtoto wa marehemu akiwa katika uso wa majonzi leo hii katika dua ya kumuombea marehemu baba yake iliyofanyika kitongoji kidogo cha Mol nchini Ubelgiji.

 Baadhi ya waumini wa kiislam walioshiriki katika dua ya kumuombea baba wa Boga wakiwa watulivu kabisa kusikiliza duaa.
 Duaa ikiendelea na huku waumini wakiwa watulivu kabisa
Mashekh wa kijiji pia walikuwepo.